Music

Macvoice – Body



Download Macvoice – Body lyrics, audio mp3

Talented musician Macvoice comes through with another brand new song tagged “Body”.

This is an amazing song from the above-mentioned musician, worth adding to your music playlist.

Listen & Share

Body Lyrics

Hivi niliachwa? Jamani

Mmmh Mmmmh

Naomba mnikumbushe

Mmana huyu wa sasa

Kafanya wa zamani nimtupe

Saivi presha sina

Stress sina

Wapi pana utulivu nije

Na shemeji yenu

Saivi presha sina

Stress sina

Wapi pana utulivu nije

Na shemeji yenu

Mana ananipatia

Mapenzi hisia

Nishajifia kwake

 Sina maneno

Baby wangu Anabody

Anabody Anabody

Anabody Anabody

Anabody Anabody

Geuka waone hilo body

Hilo body hilo body

Hilo body hilo body

Chezesha body

Hilo body hilo body

Hmmmmh Mmmmh

Baby wangu ni mpole

Mtulivu hanaga neno na mtu

Iyeeeeeh

Baby wangu ni mpole

Mtulivu hanaga neno na mtu

Ila akilewa

Umlando Adiwele jagaimaster

Ayayayaya

Umlando Adiwele jagaimaster

Ila akilewa

Umlando Adiwele jagaimaster

Umlando Adiwele jagaimaster

Ayayayaya

Aniibie nani

Oooooh nani

Wakati nna bigezo vyote

Vya kuwa na yeye

Amdangie nani ?

Ooooh nani

Wakati na mihela yote

Ya kumuhonga yeye

Look at you at you

At you At you

You’re so beautiful my dear

Eeeeh

Look at you at you

At you At you

You’re so beautiful my dear

Eeeeh

Baby wangu Anabody

Anabody Anabody

Anabody Anabody

Anabody Anabody

Geuka waone hilo body

Hilo body hilo body

Hilo body hilo body

Chezesha body

Hilo body hilo body

Mmmmmmh

Baby wangu ni mpole

Mtulivu hanaga neno na mtu

Iyeeeeeh

Baby wangu ni mpole

Mtulivu hanaga neno na mtu

Ila akilewa

Umlando Adiwele jagaimaster

Ayayayaya

Umlando Adiwele jagaimaster

Ila akilewa

Umlando Adiwele jagaimaster

Umlando Adiwele jagaimaster

Ayayayaya

TAGS:


Recommended for you
 


0 Responses

Leave a Reply