Download Roma Mkatoliki – Tupeni Chetu lyrics, audio mp3
Talented musician Roma Mkatoliki comes through with another impressive song tagged “Tupeni Chetu”.
This is an amazing song worth adding to your music playlist.
Listen & Share
Tupeni Chetu Lyrics
Kama mmeuza bandari yetu
Mseme tuelewe
Hata kidogo tupeni chetu
Nasi tulewe
Maana huku kwetu
Bado masikini
Wajukuu zetu watarithi nini
Kama mmeuza bandari yetu
Mseme tuelewe
Hata kidogo tupeni chetu
Nasi tulewe
Maana huku kwetu
Bado masikini
Wajukuu zetu watarithi nini
TAGS: Roma Mkatoliki
Recommended for you